Ghala
Mfumo wa biashara yako.
Stock, mauzo, madeni na faida — sehemu moja.
Business operating system for retail and wholesale.
Rejareja, jumla, duka la dawa, hardware, matawi mengi — mfumo mmoja.
Umeandikwa kwa Kiswahili. Ukitaka Kiingereza, unabonyeza mara moja.
Inafanya kazi kwenye simu uliyonayo. Hakuna kifaa kipya cha kununua.
Faida halisi
Si mauzo. Mauzo ukiondoa ulichonunulia na ulichotumia — ndicho unachobaki nacho.
Mtaji wako
Thamani ya kila kitu ulichonacho, kwa bei uliyonunulia. Na kinageuka mara ngapi kwa mwezi.
